Posts

Image
Habari kubwa kwa wananchi wa wilaya ya Temeke kupitia ofisi ya mbunge wa Temeke pamoja na studio ya muziki ya wakupeti music Lab iliyopo maeneo ya mtoni Mtongani inayo furaha kubwa ya kukufahamisha na kukupa nafasi wewe kijana na mwanamuziki mwenye ndoto ya kufikia malengo yako hii ni fursa ya kipekee kabisa katika wilaya ya Temeke,kutakuwa na mashindano ya kuimba kwa wanamuziki wachanga(chipukizi)fomu zitatolewa na kwa maelezo zaidi piga/sms no 0763 110 362 Hii ni kwa wasanii wa Temeke tu
Image
VIJUKUU KATIKA POZI                            SAUTI ZA VIJUKUU BAND SAUTI YA VIJUKUU Band imeanzishwa mnamo mwaka 2015 na wasanii wawili ambao ni TALIQ na HAILAT,ambao wote wanatokea katika familia ya wanamuziki yaani babu yao na wazazi wao wote ni wanamuziki mashuhuri katika tasnia ya taarab Tanzania ambao ni OMARY TEGO NA MAUA TEGO ambao wanaunda kundi la coast morden taarab kundi hili iliwahi kutamba na albam tofauti na nyimbo zao maarufu kama -: KUKUPENDA ISIWE TABU iliimbwa na MAUWA TEGO nyengine AM CRAZY OF YOU iliyoimbwa na OMARY TEGO na UDUGU HAZINA YETU ilioimbwa na wote wawili.Ila kwasasa ndugu hao wameamua kuendeleza vipaji vya watoto wao kwa kuwaanzishia band inayoitwa SAUTI ZA VIJUKUU ili kuleta changamoto na mapinduzi katika tasnia hii ya muziki wa taarab pia SAUTI ZA VIJUKUU imesharekodi albam moja na kwasasa imeshatambulisha nyimbo inayoitwa MAMA WA KAMBO ndo nyimbo iliyobeba jina la albam I                                                                      
Image
Ni nyimbo mpya kutoka kwa Dbass Wakupeti  jina la nyimbo ni selesele kaa tayari kuipokea
Image
Harakati za wakupeti music ndani ya zanzibar katika zihara yao pia walifanya perforrmance katika tamasha la sauti za busara

Wakupeti Music Entertainment (WME)

Wakupeti Music Entertainment (WME)
Image
Mabantu song Hawana maana Mabantu at location shoot Hawana maana video Hawana maana video director by O-Key Ghettochild MUUH nad Young T + Mabantu Young T with Muuh Young twah na Tausi Muuh wa mabantu Mabantu Mabantu wakiwa location wakishut video yao mpya jina la nyimbo Hawana maana audio imerekodiwa ndani ya studio ya wakupeti music chini ya producer mkali S-day touchz na video imeongozwa na director O-key Ghettochild
hii ni audio hit song kutoka kwa naksh chini ya wakupeti music nyimbo inaitwa soda ya pwani